Shinda na SIM Account

Ariana Grande akamilisha albamu yake ya nne iliyotayarishwa na maproducer wawili hatari duniani

Msani Ariana Grande amekamilisha albamu yake ya nne ambayo anakaribia kuiachia muda sio mrefu.

Hiyo ina kuja baada ya kukaribia takriban mwaka mmoja tangu mashambulizi yalivyotokea kwenye tamasha lake la mjini Manchester mwaka jana na kusababisha vifo vya watu 19 na wengine zaidi ya 50 kujeruhiwa.

Kwa mujibu wa chanzo cha karibu cha msanii huyo, kimeuambia mtandao wa TMZ, nusu ya albamu hiyo imetayarishwa na Pharrell na prodyuza mwengine anayeitwa Martin.

Related Articles

Bongo5

FREE
VIEW