Kama sio DStv potezea
TECNO Spark 2

Burudani

Ariana Grande apata dili na kampuni ya Reebok

By  | 

Ariana Grande amefanikiwa kupata dili na kampuni ya utengenezaji wa vifaa vya michezo ya Reebok.

Mrembo huyo ambaye ana followers milioni 113 kwenye mtandao wake wa Instagram, amepata dili hilo kwa ajili ya kutangaza bidhaa za kampuni hiyo.

Grande ameonyesha kufurahishwa na mkataba huo kwa kuandika kupitia mtandao wake wa Instagram, “Confidence, self belief and self expression ?♡? I am proud to partner with @Reebok who has the same ideals and beliefs as me & that I hope to instill in my babes ?#BeMoreHuman #ArianaxReebok.”

Msanii huyo sio wa kwanza kusaini mkataba na kampuni hiyo, wengine waliowahi kufanya kazi na Reebok ni pamoja na Kendrick Lamar, Future, Rick Ross na Rae Sremmurd.

Loading...

Jiunge na Bongo5.com sasa

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

Comments

Bongo5

FREE
VIEW