Burudani

Arrow Bwoy ataja sababu ya kuachia ‘Digi Digi’

By  | 

Unajua sababu ya msanii Arrow Bwoy kutoka lebo ya Kaka Empire, inayomilikiwa na rapper King Kaka kuachia wimbo wa ‘Digi Digi’?

Akiongea na Bongo5, Arrow amesema wimbo huo ameuachia ili kumuonyesha mrembo wangu sababu za kuweza kuwa na mimi.

“Ninajaribu kumpa msichana sababu za kukaa pamoja na mimi kwa kuonyesha sifa zangu zote nzuri. Kwa ajili yangu huu ndio wimbo ambao kila mtu anaweza kucheza wakati wanapenda,” amesema msanii huyo.

Tazama video ya wimbo huo hapa chini.

Jiunge na Bongo5.com sasa

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

Add a comment

comments