Michezo

Arsenal Kumilikiwa na Mashabiki

Arsenal imezindua mpango maalum utakao toa nafasi kwa mashabiki wake kununua hisa.

Mfumo huo pia unatumiwa na Barcelona na unaaminika kwa kiasi kikubwa kuksaidia klabu hiyo kifedha. Hisa za mashabiki zitakua zinauza kwa bei nafuu ili kusaidia walala hoi kumudu gharama zake.

Mfumo huu maalumu umeonyesha mashabiki wa Arsenal kwa sasa kumiliki asilimia tatu ya hisa ya klabu hiyo. Mpango huo utaanza kwenye mechi zidi ya Blackpool jumamosi hii.

 

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents