Michezo

Arsenal yakamilisha usajili wa Granit Xhaka

Klabu ya Arsenal imefanya usajili wa kiungo mpya wa Granit Xhaka kwa usajili wa Pauni Milioni 35 kutoka Borussia Monchengladbach ya Ujerumani atakuwa akichukua mshahara wa pauni 110,000 kwa wiki amesain mkataba wa miaka mitano.

3499997E00000578-3608536-image-m-76_1464173801041

xhaka

3499995800000578-3608536-image-a-53_1464173305008

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents