Arsenal yanasa saini ya beki wa Borussia Dortmund

Klabu ya Arsenal imethibitisha kumsajili aliyekuwa beki wa Borussia Dortmund, Sokratis Papastathopoulos.

Chini ya meneja wa Araenal, Unai Emeryamekuwa mchezaji wa mwisho kusajiliwa huku pauni milioni 17 zikitumika kumng’oa beki huyo mwenye umri wa miaka 30 ambaye pia alihusishwa kutua ndani ya klabu ya AC Milan na Werder Bremen.

Related Articles

Bongo5

FREE
VIEW