Michezo

Arsenal yavuliwa ubingwa Kombe la FA, Man United yatoka sare na West Ham

Michuano ya kombe la FA iliendelea tena jana kwa mabingwa wake Arsenal kuvuliwa ubingwa baada ya kufungwa na Watford kwa mabao 2-1.

160313152441_arsenal__640x360_allsport_nocredit

Magoli ya Watford yalifungwa na Odion Ighalo na Adlene Guedioura huku bao la kufutia machozi la Arsenal likifungwa na Danny Welbeck.

Katika mchezo mwingine Manchester United walitoka sare na West Ham united ya bao 1-1.

3228F85C00000578-0-image-a-40_1457890462983

Goli la West Ham lilifungwa na mchezaji Dimitri Payet dakika ya 68 kipindi cha pili, huku bao la kusawazisha la Manchester United likipachikwa na Anthon Martial Dakika ya 83 kipindi cha pili

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents