Habari

Arusha: Soko la Samunge lateketea kwa Moto

Soko la NMC Arusha maarufu kama Samunge linalokadiriwa kuwa na zaidi ya wafanyabiasha 2000 limetekekea kwa moto usiku wa kuamkia leo Machi 29, 2020.

Kwa mujibu wa Azam Tv, Moto huo umedhibitiwa lakini ukiwa umeunguza sehemu kubwa ya soko hilo, huku chanzo na hasra bado havijafahamika.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents