Michezo

Asamoah Gyan ashindwa kujiunga na klabu ya Reading

Nahodha wa Ghana Asamoah Gyan ameshindwa kujiunga na klabu ya Reading inayoshiriki ligi daraja la kwanza (Championship) kwa mkopo wa muda mrefu.

asamoah-gyan-ghana-football_3208617

Mchezaji huyo wa zamani wa klabu ya Sunderland alitarajiwa kujiunga na The Royals akitokea klabu ya Shanghai SIPG ya nchini China.

Kwa mujibu wa BBC, Gyan, 30, hataweza tena kujiunga na klabu hiyo baada ya ripoti kutoka kwamba amefeli vipimo vya afya.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents