Michezo

Ashley Cole ajiunga na klabu ya LA Galaxy ya nchini Marekani

Mchezaji wa zamani wa Uingereza Ashley Cole amethibitisha kujiunga na LA Galaxy ya Major League Soccer nchini Marekani.

Welcome-Ashley-DL[1]

Baada ya kutofanya vizuri na klabu ya As Roma ya Italia, Cole anaungana na akina Robbie Keane na Steven Gerrard kwenye klabu ya Los Angeles.

Cole, ambaye aliwahi kuzichezea klabu za Arsenal na Chelsea kabla ya kutimkia Rome, alicheza mechi 11 katika miezi 18 klabuni hapo, na msimu huu haja cheza hata mechi moja.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents