Habari

Askari waliodiwa wamelewa waua watu 12 DRC

Askari waliokuwa wamelewa nchini Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wamemimina risasi na kuua watu 12 na wengine kadhaa kujeruhiwa.

Mmoja wa wahanga anaripotiwa kuwa mtoto wa miaka miwili. Mauaji hayo yalitokea Alhamisi katika jimbo la Kivu kusini mashariki mwa nchi hiyo

Kumekuwa na waandamanaji wenye hasira dhidi jeshi la Kongo katika mji wa Sange, eneo ambalo barabara nyingi zilikuwa zimefugwa.

https://www.youtube.com/watch?v=K5z-qE25uZI

https://www.youtube.com/watch?v=2E2y-yj4cEg

https://www.youtube.com/watch?v=BbycVcnoEzQ

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents