Siasa
Askofu Gwajima: Mimi nina Connection kila kona ya dunia, unaweza ukasoma na ukakosa network (+Video)
“Kwanza mimi nina ‘connection’ unaweza ukawa umesoma sana kama huna network, mimi nimetengeza network kwenye kona za dunia” – Askofu Gwajima – Mgombea Ubunge Jimbo la Kawe Kupitia CCM. – Mgombea Ubunge Jimbo la Kawe Kupitia CCM.
https://www.instagram.com/tv/CGpT3OaBmQ8/