Habari

Askofu Gwajima, Mzee wa Upako waungana na Rais Magufuli kwa kumshushia maombi Ikulu (+video)

Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima na Mchungaji wa Kanisa la Maombezi (GRC), Anthony Lusekelo maarufu kama Mzee wa Upako leo Jumatano Desemba 12, 2018 wameungana na Rais John Magufuli Ikulu jijini Dar es Salaam, kushuhuduia utiaji saini wa mkataba wa ujenzi wa mradi wa kuzalisha umeme wa Stiegler’s Gorge.

Hafla hiyo pia imehudhuriwa na viongozi mbalimbali wa Dini, ambao wote walianza kwa kufanya maombi kila mmoja.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents