Siasa

Askofu Gwajima: Sijaacha kazi ya Mungu bali nimepanua tu kazi ukiacha umejishusha (+Video)

“Mimi sijaacha kazi ya Mungu, nafanya vyote, nimepanua tu kazi, nilisema ukiacha halafu ukagombea ubunge umejishusha lakini mimi sijaacha nimepanda juu kidogo, nawatumikia watu nawapa watu Maji, nawapa watu Umeme, najenga Zahanati, nawapa watu mikopo kwahiyo mimi nimepanua” – Mgombea Ubunge Jimbo la Kawe Kupitia CCM.

https://www.instagram.com/tv/CGpSickBQ8K/

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents