Habari

Askofu Mndolwa anena mazito baada ya kuonana na Rais Magufuli (+video)

Askofu wa Mkuu wa Kanisa la Anglikan Tanzania, Maimbo Mndolwa alikutana na kufanya mazungumzo ya faragha na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli Ikulu jijini Dar es salaam.

Askofu Mndolwa amesema kuwa kwasasa Tanzania inayokujainaonekana kuwa na Neema ya kipekee licha ya changamoto zilizopo.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents