Burudani

Aslay adondoka jukwaani akiperform Kisumu nchini Kenya, asema anaendelea vizuri (+Video)

Aslay adondoka jukwaani akiperform Kisumu nchini Kenya, asema anaendelea vizuri (+Video)

Msanii wa muziki wa kizazi kipya kutoka nchini Tanzania Aslay ameweza kupatwa na ajali kazini baada ya kudondoka jukwaani akipafomu katika moja ya tour ya anayoifanya nchini Kenya.

Aslay wakati anaperform katika mji wa kisumu alidondoka jukwaani kutokana na jukwaa hili kuonekana halikuwa imara na baada ya hapo aliweza kubebwa kwa ajili ya kupumzishwa lakini baadaye alirudi tena jukwaani.

Kupitian ukurasa wake wa Instagram Aslay alisema ” It’s normal for celebrities and performers to encounter some challenging moments while on stage and mine came through yesterday, I slipped on stage but miraculously I wasn’t hurt, I came back on stage and gave one of the most electrifying performance, #Kisumu you guys are AMAZING the Energy was insane. Mwenyezi Mungu Awabariki !!! …….. Ni Kawaida kwa Wasanii kupatana na changamoto jukwani, na Jana ilikuwa zamu yangu, yalitokea Haya punde tu nilipopanda jukwani kwa bahati nzuri sikuumia ,nilirejea jukwani na kuburudisha Mashabiki wangu wa Kisumu waliyojitokeza kwa wingi. Asanteni sana nyote Mwenyezi Mungu Awabariki!!!”

By Ally Juma.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents