Burudani

Aslay atishia vipaji vichanga

Aslay_1

Mwanamuziki wa kizazikipya toka Tmk katika Bendi ya Mkubwa na Wanawe, hivi sasa amekuwa juu kutokana na uwezo wake wa kuimba na sauti nzuri ya kasuku. mwanamuziki huyo ambaye hivi sasa anaungana na wanamuziki wadogo nchini, aliweza kuwa gumzo kwenye vyombo vya habari Zanzibar kwenye tamasha la Ziff.

Meneja wa mwanamuziki huyo ambaye ndiyo meneja wa kundi la Mkubwa na Wanawe Yusuph, amesema dogo huyo amekuwa tegemeo kubwa kutokana na kujituma kwake kwenye kazi na uwezo wake wa kuitumia sauti.

Aslay_jukwaani

 

{mmp3}Aslay-temba-niwenawe.mp3{/mmp3}

{mmp3}Aslay-fela-nakusemea.mp3{/mmp3}

{hwdvideoshare}id=1570|width=400|height=300|tpl=playeronly{/hwdvideoshare}

Alipofanya kweli kwenye tamasha la Filamu zanzabar-Ziff

{hwdvideoshare}id=1571|width=400|height=300|tpl=playeronly{/hwdvideoshare}

{hwdvideoshare}id=1575|width=400|height=300|tpl=playeronly{/hwdvideoshare}

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents