Burudani

Aslay kufanya tour ya mwezi mmoja barani Ulaya

Msanii wa muziki Bongo, Aslay anatarajia kufanya riara ya kimuziki barani Ulaya.

Muimbaji huyo atatumia kipindi cha zaidi ya mwezi mmoja kukamilisha ziara hiyo inayotarajiwa kuanza March 2 hadi April 7 mwaka huu.

Kwa kipindi hicho atafanya show nane katika nchi mbali mbali zikiwemo Norway, Sweden, Finland, Swiss, Germany, Denmark na Holand.

Fri 2.3 Stockholm – Sweden
Sat 3.3  Tampere-Finland
Sat 17.3 Berlin-Germany
Sat 24.3 Munich -Swizz

Fri 30.3  Copenhagen- Denmark
Sat 31.3 Köln-Germany
Fri 6.4  Holland
Sat 7.4  Helsinki-Finland

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents