Burudani ya Michezo Live

Aston Villa, Watford na Bournemouth mwanaume mmoja tu kubaki Premier League leo

Aston Villa, Watford and Bournemouth ni klabu ambazo zote zipo katika nafasi ya kushuka daraja na kukosekana kwenye msimu ujao wa Premier League na kwenye kucheza Championship msimu ujao.

Premier League relegation battle LIVE: Watford, Aston Villa and Bournemouth battle to stay

Villa imesafiri hadi London Stadium kuwakabili West Ham mchezo pekee utakao wapa majibu kuwa watabaki au watashuka daraja, Aston Villa inashuka uwanjani huku ikiwa na rekodi nzuri katika mchezo wake wa mwisho baada ya kuichapa Arsenal goli 1 – 0 wiki iliyopita.

Watford kwa upande wao wanashuka uwanjani kuwakabili Arsenal huku wakiwa na ndoto zile zile walizowahi kuwa nazo Aston Villa, wakiamini kuwa na wao huwenda wakaangukiwa na na ngeweka kwenye mchezo wao wa leo dhidi ya the Gunners.

Bournemouth wao watahitaji miujiza kutoka kwa Aston Villa na Watford ili wapoteze michezo yao ya leo na wao washinde mbele ya Everton ndiyo wapate nafasi ya kubaki Premier League.

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW