Burudani

AT atarajia kuachia wimbo mpya ‘Antentera’ adai mwaka 2013 haukuwa mzuri

Msanii wa muziki wa mduara nchini AT amesema mwaka 2013 haukuwa mzuri kwa wengi na kwamba ana imani mwaka 2014 una kila dalili za kuwa na neema huku akijipanga kuachia wimbo mpya.

AT

“Mwaka 2013 ulikuwa mzuri sio kwa watu wote, ingawa sitaacha kumshukuru Mungu,ila huu mwaka ni wa watu wote na mwenyezi Mungu anaandika kila kitu,mwaka huu nafanya mabadiliko kwenye kila kitu,kwenye nyimbo,video na utunzi,” amesema AT.

“Mwezi huu nitaachia wimbo wangu mpya ‘Antentera’ ambao nimefanya na Choro. Huu wimbo utaupenda sana kwakuwa ni wimbo mkali na kila anayeusikiliza anasema huu utakuwa moto wa kuotea mbali.”

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents