Burudani

AT kuidondosha Nipigie sokoni

Msanii AT kwa hivi sasa ame halla na Bongo5.com kuwa tayari kashakamilisha album yake itakayokwenda kwa jina la  NIPIGIE na karibuni itaingia sokoni. AT amesema katika album hiyo amewashirikisha wasanii kibao kutoka Kenya na Uganda kama Nameless na Ngoni. Akiongea na Bongo5.com AT amesema nyimbo ambazo zipo katika album yake ni 14 na mashabiki wakae mkao wa kusikiliza nyimbo zilizopo kwenye album

 

 

yake kwa sababu hazifanani beat wala mashahiri. Baadhi ya nyimbo zake zimefanywa kwa Benjamin wa Mambo jambo, Marco Chali na wengine kibao.
Track Ambazo zipo kwenye album ya AT ni…
Nipigie Ft Stara Thomas
Mshahara hautoshi
Mapenzi ya maneno ft Ngoni & Nameless
mwana ft Pipi
Mpishi ft Nyota Ndogo
Bonge la wife – shirko
Asali
Ofa

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents