Tia Kitu. Pata Vituuz!

Atan ” Roma alinishirikisha kwenye wimbo wa Zimbabwe na parapanda hajanipa credit zangu, Aliniambia wamenisahau” – Video

Atan " Roma alinishirikisha kwenye wimbo wa Zimbabwe na parapanda hajanipa credit zangu, Aliniambia wamenisahau" - Video

Msanii chipukizi wa muziki wa Bongo Fleva @atan_africa ambaye alishirikishwa katika nyimbo nne na ROMA pamoja na STAMINA aeleza sababu za kutopewa credit katika nyimbo zote hizo isipokuwa wimbo wa ASIWAZE.


Akiongea na Bongo5 Atan ameeleza kuwa hakuwahi kuwauliza kwanini wamemfanyia hivo ingawa alihisi kwa kuwa nyimbo sio za kwake basi acha anyamaze “Mimi nilihisi labda Director amejisahau au hata menejimenti zao ziliona huyu hafai ila mimi nahisi inshu ni muda tu (Akimaanisha kila kitu kina muda) “Ingawa sikujisikia vizuri kwa sababu nahitaji sapoti yao na pia kujitangaza “

By Ally Juma.

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW