Michezo
Athumani Iddi ‘Chuji’ ajiunga Azam FC
Mabingwa wa Tanzania Bara,Timu ya Azam imeendelea kuimarisha kikosi chake kwa kumsajili aliyekuwa kiungo wa Yanga SC, Athumani Iddi ‘Chuji’
Athumani Iddi ‘Chuji’ akiwa mzoezini na klabu bingwa ya Tanzania Bara, Azam
Athumani Iddi ‘Chuji’ akiwa mzoezini
Picha kutoka kwa Bin Zuberi