Burudani ya Michezo Live

Atiwa mbaroni kwa tuhuma za kumbaka Mbwa jike kisha kumuua

Atiwa mbaroni kwa tuhuma za kumbaka Mbwa jike kisha kumuua

Mtu mmoja aliyefahamika kwa jina la Boniface Mutuku Munyao wa Kangundo, Machakos nchini Kenya amepandishwa kizimbani Kwa tuhuma za kumbaka mbwa wa jike kisha kumuua usiku wa kuamkia Alhamisi, Januari 9, 2020.


Kwa mujibu wa The Star usiku walisikia vilio vya uchungu visivyo vya kawaida toka kwa mbwa huyo ndipo wakapata na wasiwasi kuwa si bure kuna kitu kinaendelea.

Baadaye majirani walivunja mlango kuingia wakamfuma mbwa huyo akiwa tayari kafariki dunia huku condom mbalimbali zikionekana kutumika.
Jamaa huyo anadaiwa ilikuwa tabia yake kumnyanyasa kingono mbwa huyo kwa kufanya naye mapenzi kwa siku tofauti tofauti ambapo inadaiwa zilikutwa kondomu kadhaa ndani kwake alizokuwa akitumia wakati akifanya tendo hilo la aibu.

By Ally Juma

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW