Habari

Atumia sekunde tu kula pilipili 20, akosa mpinzani kwenye shindano hilo

Wakazi katika jiji la kusini-mashariki mwa nchi ya China mwishoni mwa juma lililopita walifanikiwa kumpata mshindi wa shindano la aina yake la kula pilipili.

Yichun native Yi Huan took home a bar of gold and was crowned 'Chilli Queen' after downing 20 chillies in one minute

Mwanadada, Yi Huan

Mwanadada, Yi Huan aliibuka kidedea kwenye mashindano hayo na kuvishwa taji la ‘Chilli Queen’ baada ya kula pilipili 20 chini ya dakika moja.

This girl is on fire: A woman takes part in the chilli-eating contest at a scenic spot in Yichun city, Jiangxi province on Sunday

Shindano hilo lililofanyika siku ya Jumapili katika jimbo la Jiangxi, limeshuhudiwa washiriki wengi wakiwemo wanaume kushindwa kufuadafu mbele ya Yi Huan.

Hot tub: Sweaty men sitting in the shallow hot springs filled with water and tonnes of bobbing chillies during the contest

Picha nyingine zinazowaonyesha washiriki hao wakishindana kula pilipili.

Competitors gathered in a chilli hot spring in a bid to eat the most of the fiery fruit in 60 seconds to be crowned the champion

A man tries his best to maintain his composure after devouring the Tabasco chilli peppers in a bid to win the competition 

The contestants' faces went through a range of emotions as they face the extreme sensations during the competition

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents