DStv Inogilee!

Audio: Harmonize ameiachia EP ya nyimbo zake inayoitwa AfroBongo, Diamond, Burnaboy,Yemi Alade,Mr Eazi ndani

Msanii wa muziki kutoka lebo ya WCB iliyochini ya Diamond Platnumz, mmakonde Harmonize ameiachi EP yake ya nyimbo nne alizowashirikisha wasanii mbalimbali akiwemo boss wake Diamond Platnumz.

Mbali na Diamond kuwepo kwe EP hiyo lakini pia amewashirikisha wasanii kadhaa kutoka Nigeria akiwemo Burnaboy, Yemi Alade na Mr eazi. Wimbo alimshirikisha Boss wake ukiitwa “Inama”

By Ally Juma.

Related Articles

Back to top button
Bongo5

FREE
VIEW