Habari

Audio: Mahojiano marefu ya mhasisi wa jina ‘Bongo Flava’ Mike Mhagama

Mike Mhagama ni mtangazaji wa zamani wa Radio One wa kipindi maarufu cha Dj Show, ambaye kwa kiasi kikubwa alichangia kuzalishwa kwa muziki wa kizazi kipya ambao baadaye alikuja kuupa jina Bongo Flava, jina ambalo mpaka leo ndio unatambulisha muziki wa vijana kutoka Tanzania.

[soundcloud url=”http://api.soundcloud.com/tracks/108398187″ params=”” width=” 100%” height=”166″ iframe=”true” /]

August, 31, 2013, alifanya mahojiano na JAMII PRODUCTION na kueleza mengi kuhusu muziki huo akieleza namna ambayo yeye, Taji Liundi na Sebastian Maganga walivyopigania kukubalika kwa muziki huo wa vijana. Utafurahi sana kumsikiliza.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents