Bongo5 MakalaPromotion

Audio: Makala ya afya ya ‘Je Nifanyeje’ ya Sauti ya Amerika (VOA) idhaa ya Kiswahili Dec 28

Je Nifanyeje ni kipindi cha afya cha dakika 30 kinachorushwa na radio washirika wa Voice Of America, Idhaa ya Kiswahili chini ya udhamini washirika la misaada ya watu wa Marekani USAID.

480545_180164392110671_1126336529_n

Lengo la kipindi ni kuwawezesha vijana hususan wasichana kuweza kufanya maamuzi yao yenyewe ya kiafya na kijamii ili kuweza kufikia ndoto zao.

Kipindi kinasikika kila Jumamosi na Jumapili kupitia Best FM 90.5 Ludewa, Breeze FM 100.6 Tanga, Bomba FM 104.0 Mbeya, Radio Free Africa kanda ya ziwa, ABM Fm Dodoma na Overcomers FM 98.6 Iringa

Unaweza kusikiliza Je Nifanyeje kupitia hapa Bongo5 na pia www.voaswahili.com ( kwenye matangazo ya Je nifanyeje) na ili uwe mdau tembelea ukurasa wa facebook wa Je Nifanyeje.

Pata nafasi ya kujifunza mengi kupitia kipengele cha majadiliano,muulize daktari na pia kusikiliza story mbalimbali za kweli zitolewazo na mabinti na zinazosisimua kuhusu maamuzi wanayopitia katika maisha.

Sikiliza hapa kipindi cha leo.

[]

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents