Michezo

Audio: Masoud Djuma azungumzia hali ya Manula na Bocco kucheza leo

Kocha Msaidizi wa Klabu ya Simba, Masoud Djuma amezungumzia hali ya mlindalango wao Aishi Manula kuwa yupo vizuri na atakuwa sehemu ya wachezaji watakao ingia uwanjani hii leo kuwavaa Gendarmerie  mchezo wa kombe la Shirikisho barani Afrika.

 

Aishi yupo vizuri alipata changamoto hiyo kidogo jana mazoezini ila anaendelea vizuri Watanzania tu watuombee na atacheza mechi.

Timu nzima ipo tayari na wote watakuwepo rabda nahodha wao John Bocco ndo hatakuwepo katika kupambana kwenye mechi ya leo tunawaomba watu watuombee tunajua siyo kazi nyepesi.

 

Katika mchezo wa kwanza uliyopigwa jijini Dar es Salaam Simba SC ilichomoza na ushindi wa mabao 4 – 0 dhidi ya Gendarmerie .

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents