Tazama VIDEO:Mh. Serukamba alipotumia the F* Word bungeni

Siku za hivi karibuni tumeona bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania likichukua sura mpya pale ambapo wabunge wachache wamekumbwa na kashfa ya kutumia lugha isiyo sahihi na inayoendana na maadili ya bunge hilo.

Mapema jana, mbunge wa Kigoma Mjini (CCM) Mh. Peter Serukamba aliponyokwa na tusi la F* you akiwa amechukizwa na mbunge mwenziye kuingilia hoja yake aliyokua anachangia.

Sikiliza audio yake hapa:

Inasemekana Mh. Serukamba ameshaomba radhi kwa tukio hili.

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW