Bongo Movie

Audio: Mrembo amtolea nje Duma na kudai ni marafiki

Mrembo Agness amemkana muigizaji wa ‘Siri ya Mtungi’ Duma kwa kudai hawana mahusiano ya kimapenzi na bali  ni marafiki.

Akiongea na Bongo5, mrembo huyo amedai kuwa wao ni marafiki  wakaribu na ila ni mwanaume mwenye vigezo vya kuwa naye.

“Am not sio wapenzi ni marafiki tu wakawaida na zile voice notice ni mimi kweli ila ilikuwa utani,” amesema mrembo huyo amabye amekuwa akiweka picha zake za utupu katika mtandao wa Instagram.

Pia akaongeza kuwa Duma ni mwanaume hivyo anaweza akawa  naye katika mahusiano ya kimapenzi.

 

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents