Burudani

Audio: Patoraking asema anamkubali Alikiba na Vanessa Mdee, aelezea kufanana kwake na Young Dee

Msanii wa Nigeria, Patoraking amesema wasanii anaowakubali kutoka Tanzania ni Alikiba na Vanessa Mdee.

pato

Akiongea na Diva wa Clouds FM kwenye kipindi cha Ala za Roho, Patoranking alisema amekuwa akimsikiliza Alikiba na kwamba Vanessa ni mshkaji wake.

“I listen to Alikiba and I am a fan of his works, I like his works as well,” alisema muimbaji huyo wa ‘My Woman.’

“Then Vanessa Mdee she is my very good friend and I am also a fan of her voice, she is very talented.”

Kwa upande mwingine Diva alimuuliza kama anamfahamu Young Dee na kama anajua kuwa wanafanana. “I have heard a lot of people saying that, I think he is my brother from another mother.”

Msikilize zaidi hapo chini.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents