Burudani
Audio: Sikiliza album ya msanii Brian Simba ‘Masaki Theory’
Mfahamu Brian Simba, mwanamuziki mpya, wa kizazi kipya, Tanzania. Amekua akitengeneza muziki wake kwa muda, hivi sasa anawajia na orodha mpya ya nyimbo kumi iitwayo Masaki Theory.
Sikiliza hapo chini: