Burudani
Audio/Video: Alpha Rwirangira f/ Kidum – Birakaze
Aliyekuwa mshindi wa msimu wa tatu wa shindano la Tusker Project Fame, Alpha Rwirangira wa Rwanda, ameachia video na wimbo wake mpya aliomshirikisha mwanamuziki wa Burundi, Kidum. Wimbo unaitwa Birakaze.
https://www.youtube.com/watch?v=WDRy7mAMVfE