Burudani

Aunty Ezekiel aeleza kujifungua salama mtoto wake (+ Video)

Msanii wa filamu hapa nchini Aunty Ezekiel amejifungua salama mtoto wa kiume ambapo kupitia mtandao wa kijamii wa Instagram ameweka taarifa hiyo kwa kuandika kuwa “Asante mungu kwa hii zawadi” THANK U GOD FOR THIS GIFT….🙏🤱

Aunt ametumia #Hashtag ya  #MyNomanSmile❤
#MyBoyboy❤
#27112020💕

Kitu ambacho kimeonyesha kuwa huyo ni mtoto wa kiume.

Huyo ni mtoto wa pili wa Aunty Ezekiel japo bado haijafahamika rasmi ni nani baba halali wa mtoto huyo, mtoto wake wa kwanza ni wa kike anafahamika kwa jina la Cookie ambaye amempata na mzazi mwenzake Mose Iyobo.

https://www.youtube.com/watch?v=gWCUMGW8y4Y

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents