Burudani

Aunty Ezekiel ampa wosia mwanae Cookie

Muigizaji wa Filamu nchini, Aunty Ezekiel ametoa wosia kwa mwanae Cookie jinsi ya kuishi na watu vizuri.

Aunty Ezekiel amueleza mwanae kuwa kila watakampo mnenea maneno juu yake yeye hawatakie heri.

Wewe ndio Roho yang Cookie @cookieprincessiyobo ….Usikae shingo Upande hawa ndio binaadamu Mwanangu wosia wang ww watakie kheri kwa kila watakalo kunenea juu yako Amin …..,” ameandika Aunty kupitia ukurasa wake wa Intagram.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents