Michezo

Australian Open: Andy Murray adai joto la (42C) la Melbourne litaua mtu

Mchezaji wa tennis wa Uingereza, Andy Murray amesema anaogopa kuwa mtu anaweza kupata mshtuko wa moyo kama waandaji wa mashindano ya Australian Open wataendelea kusisitiza kuendelea kwa michezo kwenye joto kali la (42C) jijini Melbourne, kama walivyocheza jana Jumanne.

AP-DO-NOT-USE-Andy-Murray-1424430

Murray alitumia saa 1 na dakika 27 jana na kumshinda Mjapan Go Soeda kw a6-1, 6-1, 6-3 katika siku ambayo mchezaji wa Canada, Frank Dancevic alizimia akiwa mchezoni dhidi ya Peng Shuai wa China, aliyetapika.

dan_2790489a
Frank Dancevic akipewa huduma ya kwanza baada ya kuanguka uwanjani kutokana na joto kali

ball-boys-are-fainting-in-the-108-degree-heat-at-the-australian-open
Kijana anayechukua mipira naye alianguka wakati wa mechi nyingine

Bingwa huyo wa Wimbledon alisema uamuzi wa kuruhusu michezo iendelee inaonesha picha mbaya ya mchezo huyo.

heat1_2790483a

peng_2790492a

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents