Taifa Stars kuvaana na Lesotho leo
Michezo

Taifa Stars kuvaana na Lesotho leo

Timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars inatarajiwa kushuka dimbani leo kutupa karata yake ya mwisho dhidi ya Lesotho kwa…
New Video: Nikki Mbishi – Kama Unatafuta Kiki
Videos

New Video: Nikki Mbishi – Kama Unatafuta Kiki

Mkali wa muziki wa hip hop Bongo, Nikki Mbishi ameachia ngoma mpya ‘Kama Unatafuta Kiki’, video ikiwa imeongozwa na Gruzzie perfect…
Serikali yazitaka taasisi za fedha kuwawezesha wajasiriamali
Habari

Serikali yazitaka taasisi za fedha kuwawezesha wajasiriamali

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amezitaka Taasisi za fedha kuwawezesha wajasiriamali ili…
Chin Bees: Siwezi kubadilisha jina kwa sababu ya Chid Benz
Burudani

Chin Bees: Siwezi kubadilisha jina kwa sababu ya Chid Benz

Msanii wa Bongo Fleva, Chini Bees amesema hawezi kubadilisha jina ili kumkwepa Chid Benz.   Wiki iliyopita rapper Chid Benz…
Rais ajiuzulu baada ya kutishiwa kuuawa
Michezo

Rais ajiuzulu baada ya kutishiwa kuuawa

Rais wa klabu ya soka ya Paysandu Sport inayoshiriki ligi daraja la pili nchini Brazil, Sergio Serra amejiuzulu kutokana na vitisho…
Ciara na mumewe Russel Wilson washerekea mwaka mmoja wa ndoa
Burudani

Ciara na mumewe Russel Wilson washerekea mwaka mmoja wa ndoa

Ciara anasherekea mwaka mmoja wa ndoa yake na mumewe Russel Wilson. Kupitia mtandao wa Instagram, mrembo huyo ameonyesha kuwa na…
Nay wa Mitego hana cha kunizidi zaidi ya hela – Young Killer
Burudani

Nay wa Mitego hana cha kunizidi zaidi ya hela – Young Killer

Msanii wa hip hop Bongo, Young Killer ametoa sababu ya kusema hana hela katika diss track ‘True Boya’ aliyoiachia kwa…
Rapper Tyga amjia juu Rob Kardashian
Burudani

Rapper Tyga amjia juu Rob Kardashian

Rapper Tyga amemtaka Rob Kardashian kutomuhusisha mtoto wake [King Cairo Stevenson] mwenye miaka mitano katika ugomvi alionao na mpenzi wake…
Rais Magufuli aridhia ombi la kustaafu kwa Jaji wa Mahakama Kuu
Habari

Rais Magufuli aridhia ombi la kustaafu kwa Jaji wa Mahakama Kuu

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli ameridhia maombi ya kustaafu mapema kwa jaji Mahakama Kuu…
Polisi waua wahalifu wawili Kibiti
Habari

Polisi waua wahalifu wawili Kibiti

Jeshi la Polisi limewaua watu wawili wanaodaiwa kuwa ni miongoni mwa wanaofanya mauaji katika Wilaya za Mkuranga, Kibiti na Rufiji,…
Walimu wa Soka jitokezeni kuchukua fomu – TAFCA
Michezo

Walimu wa Soka jitokezeni kuchukua fomu – TAFCA

Mwenyekiti wa Kamati ya Uchaguzi ya Chama cha Makocha wa Mpira wa Miguu Tanzania (TAFCA), Ramadhani Mambosasa ametoa wito wa…
Uchaguzi TWFA kufanyika Dar es salaam
Michezo

Uchaguzi TWFA kufanyika Dar es salaam

Uchaguzi wa Chama cha Mpira wa Miguu kwa Wanawake (TWFA), sasa unatarajiwa kufanyika Jijini Dar es Salaam badala ya Dodoma…
Diamond azungumzia kuhusu Chibu Beats
Burudani

Diamond azungumzia kuhusu Chibu Beats

Baada ya ukimya wa muda mrefu tangu msanii wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz atangaze ujio wa bidhaa zake za headphone…
Uganda yapiga marufuku kufuga kucha na kujipodoa
Habari

Uganda yapiga marufuku kufuga kucha na kujipodoa

Kama ulikuwa una ndoto za kufanya kazi nchini Uganda hasa kwa watoto wa kike wenye kupenda kujipodoa na kuvaa nguo…
Tetemeko kubwa la ardhi laikumba Canada
Habari

Tetemeko kubwa la ardhi laikumba Canada

Tetemeko la ardhi lenye ukubwa wa Magnitude 5.8 limeikumba nchi ya Canada katika mji wa Montana. Kwa mujibu wa mtandao…
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents