Mei Mosi: Zifahamu movie unazoweza kucheki leo
Uncategorized

Mei Mosi: Zifahamu movie unazoweza kucheki leo

Kama wewe ni mpenzi wa movie kali, basi siku ya leo, usikose nafasi ya kuangalia show hizi zinazoonyeshwa cinema zote…
Mwanariadha Alphonce Simbu awa mshindi wa tano mbio za London
Michezo

Mwanariadha Alphonce Simbu awa mshindi wa tano mbio za London

Mwanariadha kutoka Tanzania Alphonce Simbu, Jumapili hii amemaliza kama mshindi wa tano katika mbio za London Marathon nchini Uingereza. Alphonce…
Picha: Dar Shapers waandaa mahafali ya waathirika wa madawa ya kulevya
Habari

Picha: Dar Shapers waandaa mahafali ya waathirika wa madawa ya kulevya

Taasisi ya Global Shapers Dar Es Salaam Hub Leo imeandaa mahafali kwa ajili ya waathirika wa madawa ya kulevya,ikiwa ni…
Sina mpango wa kuondoka SharoBaro – HitBits
Burudani

Sina mpango wa kuondoka SharoBaro – HitBits

Hayo yamebainishwa na mtayarishaji wa muziki kutokea studio za sharobaro, Hit Bits alipokuwa akiongea na Bongo5 kufuatia stori inayozunguka kuhusu…
Marekani: Wasanii walivyosherehekea siku ya bangi, 4/20.
Burudani

Marekani: Wasanii walivyosherehekea siku ya bangi, 4/20.

Siku ya jana, tarehe 20, mwezi Aprili, nchini Marekani, ilikua maalum ya kusherehekea Bangi,ijulikanayo,kama 4/20. 420 ni namba za siri…
Taarifa muhimu kuhusu Hisa za Vodacom Tanzania
Habari

Taarifa muhimu kuhusu Hisa za Vodacom Tanzania

Kumekuwa na taarifa za upotoshaji katika mitandao ya kijamii kuhusu thamani halisi ya hisa za Vodacom (VTL). Kwa mfano, ujumbe…
Video: Zari na wifi yake Esma wana nini?
Burudani

Video: Zari na wifi yake Esma wana nini?

Kichwa cha habari kisikuogopeshe.. all positive vibes kwa sauti ya Kanye West. Inaonekana Zari the Bosslady ameweza kuiva vyema na…
Dr Almas: Muigizaji wa filamu za Kibongo anayekuja juu
Burudani

Dr Almas: Muigizaji wa filamu za Kibongo anayekuja juu

Kama umebahatika kutazama filamu ya Chausiku, sura na uwezo wa Dr Almas kwenye uigizaji vitakuwa si vigeni kwako na utakubaliana…
Video: Saraha ashika nafasi ya pili kwenye nusu fainali ya mashindano makubwa ya Melodifestivalen 2016 Sweden
Burudani

Video: Saraha ashika nafasi ya pili kwenye nusu fainali ya mashindano makubwa ya Melodifestivalen 2016 Sweden

Saraha amekitangaza Kiswahili kwa kishindo kikubwa kwenye mashindano ya 59 ya Melodifestivalen 2016 nchini Sweden. Muimbaji huyo aliingia kwenye nusu…
Elton John amchana Janet Jackson kwa kutotumbuiza live
Burudani

Elton John amchana Janet Jackson kwa kutotumbuiza live

Elton John amemshambulia Janet Jackson. Kwenye mahojiano ya hivi karibuni na jarida la Rolling Stone, muimbaji huyo aliyewahi pia kuwa…
New Video: Nameless and Nyashinski – #Letigo
Burudani

New Video: Nameless and Nyashinski – #Letigo

#LETIGO is a feel good song by Nameless and Nyashinski . Nyashinski teams up with longtime friend Nameless on this…
New Music: Millian f/ Diamond – Nyota ya Mashariki
Burudani

New Music: Millian f/ Diamond – Nyota ya Mashariki

Wimbo wa muimbaji na CEO wa Millian Dollar Boyz, Millian aliomshirikisha Diamond Platnumz.
Mean Tweets: Tazama mastaa wa Hollywood wakisoma wenyewe tweets walizotukanwa
Burudani

Mean Tweets: Tazama mastaa wa Hollywood wakisoma wenyewe tweets walizotukanwa

Twitter kuna watu wa kila aina. Wapo ambao kazi yao ni kukejeli na kutukana mastaa mbalimbali. Lakini Jimmy Kimmel ana…
Picha: Beyonce akava jarida la Garage
Burudani

Picha: Beyonce akava jarida la Garage

Beyonce amelibariki jarida la Garage kwa urembo wake. Staa huyo mwenye miaka 34, na mama wa mtoto mmoja anaonekana kwenye…
Video: Mfahamu producer Cjamoker wa Chimbo Inc
Burudani

Video: Mfahamu producer Cjamoker wa Chimbo Inc

Cjamoker ni producer wa studio ya Chimbo Inc na hivi karibuni aliachia wimbo wake aliowashirikisha Wakazi, One The Incredible, Zaiid…
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents