Tumeondokewa na kiungo kikubwa – Kaka yake Mbunge Maji Marefu (+video)
Habari

Tumeondokewa na kiungo kikubwa – Kaka yake Mbunge Maji Marefu (+video)

Kaka wa marehemu, Mbunge Stephen Ngonyani maarufu kama Majimarefu amesema kuwa wameondokewa na mtu muhimu na kiungo kikuwa huku akieleza…
Waziri Mkuu aongoza Watanzania kusaini kitabu cha maombolezo kufuatia kifo cha Mbunge Maji Marefu (+video)
Habari

Waziri Mkuu aongoza Watanzania kusaini kitabu cha maombolezo kufuatia kifo cha Mbunge Maji Marefu (+video)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Naibu Waziri wa Ardhi, Angelina Mabula…
Waziri Lugola atinga Wizarani afanya kikao na watendaji wakuu (+Picha)
Habari

Waziri Lugola atinga Wizarani afanya kikao na watendaji wakuu (+Picha)

Waziri wa Mambo ya Ndani, Kangi Lugola leo amewasili Wizarani na kupokelewa Ofisi ndogo za Wizara hiyo zilizopo jijini Dar…
New Video: Joel Lwaga – Yote Mema
Videos

New Video: Joel Lwaga – Yote Mema

Msanii wa nyimbo za Injili, Joel Lwaga aliyetamba na wimbo ya ‘Sitabaki kama nilivyo’ ameachia video ya wimbo wake mpya…
IGP Sirro afanya mabadiliko Makamanda wa Polisi
Habari

IGP Sirro afanya mabadiliko Makamanda wa Polisi

Ikiwa imepita siku moja tangu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Magufuli kumuapisha Waziri wa Mambo ya…
Taarifa za kuaga mwili na mazishi ya Profesa Maji Marefu, Mtoto wake aeleza
Habari

Taarifa za kuaga mwili na mazishi ya Profesa Maji Marefu, Mtoto wake aeleza

Aliyekuwa Mbunge wa Korogwe Vijijini (CCM), Steven Ngonyani maarufu kama Profesa Maji Marefu,ataagwa kesho kuanzia saa tatu kwa jiji la…
Rais Magufuli anafanya mkutano na viongozi wakuu wastaafu (+Picha)
Habari

Rais Magufuli anafanya mkutano na viongozi wakuu wastaafu (+Picha)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli anafanya Mkutano na viongozi Wakuu Wastaafu wakiwemo Marais, Makamu…
Rais Magufuli Punda afe mzigo ufike – Afande Sele
Burudani

Rais Magufuli Punda afe mzigo ufike – Afande Sele

Jana Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli wakati akitoa hotuba kwa viongozi mbalimbali aliowaapisha siku…
Makamu wa Rais amfagilia Rais Magufuli nchini Mauritania (+video)
Habari

Makamu wa Rais amfagilia Rais Magufuli nchini Mauritania (+video)

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Samia Suluhu Hassan amesema “Tanzania chini ya Serikali ya Rais Dkt. John…
Rais Magufuli amteua Mkurugenzi Mkuu wa TBS
Habari

Rais Magufuli amteua Mkurugenzi Mkuu wa TBS

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, amemteua, Dkt. Ngenya Athumani Yusuf kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Viwango Tanzania…
TANZIA: Mbunge Ngonyani (Profesa Majimarefu) afariki dunia
Habari

TANZIA: Mbunge Ngonyani (Profesa Majimarefu) afariki dunia

Mbunge wa Korogwe vijijini (CCM), Stephen Ngonyani (Profesa Maji Marefu) amefariki dunia usiku huu katika hospitali ya Taifa Muhimbili alipokuwa…
ACT -Wazalendo waiomba serikali kuchunguza mishahara wanayolipwa wafanyakazi wa makampuni ya ulinzi (+video)
Habari

ACT -Wazalendo waiomba serikali kuchunguza mishahara wanayolipwa wafanyakazi wa makampuni ya ulinzi (+video)

Chama cha ACT – Wazalendo chaiomba serikali kuchunguza mishahara wanayolipwa walinzi wa Makampuni ya ulinzi kwa kudai kuwa mishahara wanayolipwa…
Wizara ya Mambo ya Ndani ina mambo ya hovyo – Rais Magufuli amueleza Mh. Lugola (+video)
Habari

Wizara ya Mambo ya Ndani ina mambo ya hovyo – Rais Magufuli amueleza Mh. Lugola (+video)

Rais Magufuli amueleza Waziri Mpya wa Mambo ya Ndani, Kangi Lugola changamoto zilizopo katika Wizara hiyo huku akimtaka kwenda kuchukua…
Nimechoka kutoa rambirambi – Rais Magufuli (+video)
Habari

Nimechoka kutoa rambirambi – Rais Magufuli (+video)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amesema kuwa amechoka kutuma salamu za rambirambi kufuatia ajali…
Walichokizungumza ACT-Wazalendo baada ya Dkt. Mwigulu Nchemba kutumbuliwa (+video)
Habari

Walichokizungumza ACT-Wazalendo baada ya Dkt. Mwigulu Nchemba kutumbuliwa (+video)

Chama cha ACT -Wazalendo kimeeleza baada ya Rais Magufuli kutengua nafasi ya aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani, Dkt. Mwigulu…
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents