Muarobaini wa kumaliza tatizo la mafuta ya kula nchini wapatikana
Habari

Muarobaini wa kumaliza tatizo la mafuta ya kula nchini wapatikana

Serikali imedhamiria kumaliza tatizo la upatikanaji wa mafuta ya kula nchini kwa kufanya mageuzi makubwa katika zao la michikichi, alizeti…
NIDA yatoa ofa kwa watakaosajili vitambulisho vya Taifa maonyesho ya Sabasaba
Habari

NIDA yatoa ofa kwa watakaosajili vitambulisho vya Taifa maonyesho ya Sabasaba

Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa(NIDA),  inawatangazia wakazi wote wa Dar es Salaam ofa Maalum ya Usajili wakati wa maonyesho ya…
Tazama Bunge Live Mkutano 11 Kikao cha 59 – June 27, 2018
Habari

Tazama Bunge Live Mkutano 11 Kikao cha 59 – June 27, 2018

Kikao cha 59, Mkutano wa 11 wa Bunge la 11 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania linaendelea Jijini Dodoma, Leo…
Hospitali ya Muhimbili yaimarisha uwezo wa wataalam wa kupandikiza Figo
Habari

Hospitali ya Muhimbili yaimarisha uwezo wa wataalam wa kupandikiza Figo

Katika kipindi cha miezi nane Hospitali ya Taifa Muhimbili(MNH) imefanikiwa kupandikiza figo wagonjwa 10 kwa mafanikio makubwa ambapo katika kambi…
Jeshi la Polisi lasitisha utoaji wa ajira mpya zilizotangazwa
Habari

Jeshi la Polisi lasitisha utoaji wa ajira mpya zilizotangazwa

Jeshi la Polisi nchini limetangaza kusitisha utoaji wa ajira zilizotangazwa kwa vijana wa JKT waliopita oparesheni Kikwete ambazo zilikuwa zimetangazwa…
Mbunge Musukuma aibuka na jipya kuhusu uvuvi haramu (+video)
Habari

Mbunge Musukuma aibuka na jipya kuhusu uvuvi haramu (+video)

Mbunge wa Geita Vijijini Joseph Kasheku Msukuma amesema dhana ya uvuvi haramu imeenea kwenye kauli za Mawaziri, Lakini Samaki wana…
Naibu Waziri wa ardhi baada ya kufiwa na mumewe, Spika Ndugai ampa pole Bungeni (+video)
Habari

Naibu Waziri wa ardhi baada ya kufiwa na mumewe, Spika Ndugai ampa pole Bungeni (+video)

Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Angelina Mabula alifiwa na mumewe Juni 13, 2018 katika Hospitali ya…
Kwanini serikali isiwalipe mishahara Madiwani kama inavyowalipa Wabunge?- Mbunge Hamida ahoji (+video)
Habari

Kwanini serikali isiwalipe mishahara Madiwani kama inavyowalipa Wabunge?- Mbunge Hamida ahoji (+video)

Mbunge wa Viti Maalum, Hamida Abdallah ameiomba serikali kuwalipa mshahara Madiwani kama inavyotoa kwa Wabunge kwa kuwa wanafanya kazi sawa.…
Mbunge aomba namba za Mawaziri kuwekwa hadharani kama za Ma-RPC (+video)
Habari

Mbunge aomba namba za Mawaziri kuwekwa hadharani kama za Ma-RPC (+video)

Mbunge wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar, Jaku Hashimu Ayoub ameiomba serikali kuweka namba za Mawaziri hadharani kama ilivyo kwa Makanda…
Wizara ya afya yatoa tahadhari uwepo wa ugonjwa huu nchini
Habari

Wizara ya afya yatoa tahadhari uwepo wa ugonjwa huu nchini

Serikali kupitia Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imetoa tahadhari kwa wananchi juu ya kuingia kwa…
Tazama Bunge Live Mkutano 11 Kikao cha 58 – June 26, 2018
Habari

Tazama Bunge Live Mkutano 11 Kikao cha 58 – June 26, 2018

Kikao cha 58, Mkutano wa 11 wa Bunge la 11 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania linaendelea Jijini Dodoma, Leo…
Mbunge Joshua Nassari asusa kuendelea kuchangia hoja kuhusu Korosho kisa?(+video)
Habari

Mbunge Joshua Nassari asusa kuendelea kuchangia hoja kuhusu Korosho kisa?(+video)

Mwenyekiti wa Bunge, Azzan Zungu alimsimamisha Mbunge wa Arumeru, Joshua Nassari kwa muda kuchangia hoja baada ya kuchangia hoja kwa…
Tazama zomeazomea ilivyoibuka Bungeni leo (+video)
Habari

Tazama zomeazomea ilivyoibuka Bungeni leo (+video)

Zomea zomea imeibuka leo, Juni 25, 2018 Bungeni jijini Dodoma na kumfanya Mwenyekiti wa Bunge, Azzan Zungu kuwaonya wanaofanya vitendo…
Nape awa mbogo Bungeni, ‘Mapendekezo haya yanakwenda kuiua CCM’ (+video)
Habari

Nape awa mbogo Bungeni, ‘Mapendekezo haya yanakwenda kuiua CCM’ (+video)

Mbunge wa Jimbo la Mtama (CCM), Nape Nnauye amesema hakubaliani na mapendekezo ya serikali kufuta asilimia 65 ya fedha zinazotokana…
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents