Kauli ya Rais Magufuli; ‘asihamishwe mtumishi bila kulipwa’, yatolewa ufafanuzi Bungeni
Habari

Kauli ya Rais Magufuli; ‘asihamishwe mtumishi bila kulipwa’, yatolewa ufafanuzi Bungeni

Serikali kupitia Naibu Waziri wa TAMISEMI,Joseph Kakunda imesema kuwa walimu wote waliohahamishwa na wenye madeni halali watalipwa stahiki zao na…
TCRA na Jeshi la Polisi kula sahani moja na wezi wanaotumia mitandao ya simu
Habari

TCRA na Jeshi la Polisi kula sahani moja na wezi wanaotumia mitandao ya simu

Serikali imesema kuwa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) kwa kushirikiana na Polisi watahakikisha wanafanya kazi kwa ukaribu kuhakikisha wote wanaotapeli…
Tazama Bunge Live Mkutano 11 Kikao cha 57 – June 25, 2018
Habari

Tazama Bunge Live Mkutano 11 Kikao cha 57 – June 25, 2018

Kikao cha 57, Mkutano wa 11 wa Bunge la 11 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania linaendelea Jijini Dodoma, Leo…
Kwenye vitu vingi tumeshika mkia duniani lakini kwenye hili tupo kwenye 10 bora – Waziri Mwakyembe (+video)
Habari

Kwenye vitu vingi tumeshika mkia duniani lakini kwenye hili tupo kwenye 10 bora – Waziri Mwakyembe (+video)

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Harrison Mwakyembe amesema kuwa Lugha ya Kiswahili ni moja ya lugha 10 duniani…
Baada ya miaka 10; Shirika la Reli Tanzania laanza kusafirisha mizigo Uganda
Habari

Baada ya miaka 10; Shirika la Reli Tanzania laanza kusafirisha mizigo Uganda

Shirika la Reli Tanzania {TRC} limeanza kusafirisha mizigo kwenda Kampala nchini Uganda ikiwa ni miaka takribani 10 tangu usafiri wa…
Magonjwa yasiyo ya kuambukiza yaongezeka nchini
Habari

Magonjwa yasiyo ya kuambukiza yaongezeka nchini

Serikali kupitia Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu amesema Magonjwa yasiyo ya kuambukizwa kama…
Serikali yashusha neema kwa vijana nchini (+video)
Habari

Serikali yashusha neema kwa vijana nchini (+video)

Naibu waziri Ofisi ya Waziri Mkuu,Kazi, ajira na watu wenye ulemavu, Antony Mavunde amesema kuwa serikali kupitia Ofisi ya Waziri…
Manispaa ya Kigoma Ujiji kutokusanya ushuru, Mh. Zitto amuibua Polepole Bungeni (+video)
Habari

Manispaa ya Kigoma Ujiji kutokusanya ushuru, Mh. Zitto amuibua Polepole Bungeni (+video)

Mbunge wa Kigoma Mjini na Kiongozi wa Chama ACT- Wazalendo amesema kuwa Halmashauri ya Manispaa ya Kigoma Ujiji haikusanyi ushuru,…
Mbunge wa CCM aihoji serikali deni la miaka 36 iliyopita (+video)
Habari

Mbunge wa CCM aihoji serikali deni la miaka 36 iliyopita (+video)

Mbunge wa CCM, Abdallah Bulembo ameihoji serikali kuwa kuna wananchi wa Makoko Musoma waliachia eneo mwaka 1982 mpaka leo ni…
Serikali yagoma kufuta tozo daraja la Kigamboni (+video)
Habari

Serikali yagoma kufuta tozo daraja la Kigamboni (+video)

Serikali kupitia Naibu waziri Ofisi ya Waziri Mkuu,Kazi, ajira na watu wenye ulemavu, Antony Mavunde imesema haitafuta tozo inayotozwa katika…
Rais Magufuli amteua Dkt. Budeba
Habari

Rais Magufuli amteua Dkt. Budeba

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amemteua Dkt. Yohana Luhunga Budeba kuwa Mwenyekiti wa Bodi…
Ukishiriki mwanafunzi wa kike au wakiume anayesoma shule kuolewa/kuoa adhabu kali inakuhusu
Habari

Ukishiriki mwanafunzi wa kike au wakiume anayesoma shule kuolewa/kuoa adhabu kali inakuhusu

Serikali imesema ni marufuku kwa mtu yeyote kuoana na msichana au mvulana anaesoma shule ya msingi au sekondari na aatakaye…
Ukweli kuhusu Bodyguard wa Diamond kupata ajali na kupasuka kichwa, ndugu yake aeleza (+video )
Burudani

Ukweli kuhusu Bodyguard wa Diamond kupata ajali na kupasuka kichwa, ndugu yake aeleza (+video )

Baada ya Bodyguard wa Msanii, Diamond Platnumz, Mwarabu Fighter kwenye page yake kuandika kuwa amepata ajali mbaya sana na amepasuka…
Maneno ya Mh. Freeman Mbowe kwa Watanzania baada ya kufiwa na kaka yake
Habari

Maneno ya Mh. Freeman Mbowe kwa Watanzania baada ya kufiwa na kaka yake

Mwenyekiti wa Chadema Taifa na Mbunge wa Hai, Freeman Mbowe amewashukuru wote walioenda kuwaona baada ya kusikia kifo cha kaka…
Tazama Bunge Live Mkutano 11 Kikao cha 56 – June 22, 2018
Habari

Tazama Bunge Live Mkutano 11 Kikao cha 56 – June 22, 2018

Kikao cha 56, Mkutano wa 11 wa Bunge la 11 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania linaendelea Jijini Dodoma, Leo…
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents