Aliyehama Chadema ajipachika cheo kuwa mshauri wa serikali ya Rais Magufuli
Habari

Aliyehama Chadema ajipachika cheo kuwa mshauri wa serikali ya Rais Magufuli

Aliyewahi kugombea Ubunge wa Jimbo la Ilala kwa tiketi ya CHADEMA mwaka 2015, Muslim Hassanali amejipachika nafasi ya ushauri wa…
Ufaulu kidato cha pili, wasichana wang’ara
Habari

Ufaulu kidato cha pili, wasichana wang’ara

Katibu Mtendaji Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA),Dk Charles Msonde ametangaza matokeo ya upimaji wa kitaifa kwa wanafunzi wa kidato cha…
Kigoma: Naibu Waziri wa afya ashiriki ujenzi wa shule
Habari

Kigoma: Naibu Waziri wa afya ashiriki ujenzi wa shule

Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto,Dkt. Faustine Ndugulile ameshiriki ujenzi wa Shule ya Kijiji cha…
Picha: Mh. Edward Lowassa, Mbowe wamjulia hali Mzee Kingunge
Habari

Picha: Mh. Edward Lowassa, Mbowe wamjulia hali Mzee Kingunge

Mwenyekiti CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe ameongozana na Waziri Mkuu Mstaafu na Mjumbe wa Kamati Kuu, Edward Lowassa kumjulia hali Mzee…
New video: Ivrah – Na Moyo
Videos

New video: Ivrah – Na Moyo

Msanii wa Bongo Flava, Ivrah ambaye safari yake muziki ilianzia kwenye wimbo wa shusha. Sasa ameachia video yake mpya wimbo…
Mambo makubwa saba yaliyozungumzwa na serikali leo (+Video)
Habari

Mambo makubwa saba yaliyozungumzwa na serikali leo (+Video)

Mkurugenzi Mkuu, Idara ya Habari – Maelezo na Msemaji Mkuu wa Serikali, Dkt. Hassan Abbasi amesema kuwa serikali imeendelea kutekeleza…
Video: Serikali kununua mabehewa ya kisasa 1590
Habari

Video: Serikali kununua mabehewa ya kisasa 1590

Mkurugenzi Mkuu, Idara ya Habari – Maelezo na Msemaji Mkuu wa Serikali, Dkt. Hassan Abbasi amesema kuwa serikali imeendelea kutekeleza…
CUF yatoa msimamo baada ya CCM kumteua Mh. Mtulia kugombea jimbo la Kinondoni
Habari

CUF yatoa msimamo baada ya CCM kumteua Mh. Mtulia kugombea jimbo la Kinondoni

Chama cha Wananchi (CUF) kimesema Kuwa kinapenda kuwataarifu Watanzania watambue kua Mh.Mtulia si Mwanachama wa chama hicho na katika hali…
Mamlaka ya Hali ya Hewa (TMA) yatahadharisha kuwepo kwa upepo mkali
Habari

Mamlaka ya Hali ya Hewa (TMA) yatahadharisha kuwepo kwa upepo mkali

Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania(TMA) imetoa tahadhari ya upepo mkali maeneo ya Pwani kuanzia tarehe 7 na tarehe 8…
Waziri Majaliwa atatua mgogoro wa ujenzi uliodumu miaka miwili
Habari

Waziri Majaliwa atatua mgogoro wa ujenzi uliodumu miaka miwili

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amemaliza mgogoro wa ujenzi wa makao makuu ya Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga ambao umedumu kwa…
Waziri Mkuu aibua mazito ushirika wa Mbinga
Habari

Waziri Mkuu aibua mazito ushirika wa Mbinga

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amebaini madudu kwenye vyama vikuu vya Ushirika vya Mbinga (MBICU na MBIFACU) na kuagiza uchunguzi ufanyike…
Waziri Mwakyembe atuma salamu za rambirambi kufuatia kifo cha mwandishi
Habari

Waziri Mwakyembe atuma salamu za rambirambi kufuatia kifo cha mwandishi

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk. Harrison Mwakyembe amepokea kwa mshituko mkubwa taarifa ya kifo cha Mwanahabari na…
Mh. Lissu apelekwa Ubelgiji kwa matibabu zaidi
Habari

Mh. Lissu apelekwa Ubelgiji kwa matibabu zaidi

Mbunge wa Singida Mashariki (Chadema), Tundu Lissu ametoka Hospitali ya Nairobi nchini Kenya leo Jumamosi asubuhi kwenda nchini Ubelgiji kwa…
Rais Magufuli amteua Naibu Waziri wa Madini
Habari

Rais Magufuli amteua Naibu Waziri wa Madini

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amemteua,Mh. Doto Mashaka Biteko kuwa Naibu Waziri wa Madini.…
Serikali ya Mapinduzi Zanzibar inatekeleza sera – Makamu wa Rais
Habari

Serikali ya Mapinduzi Zanzibar inatekeleza sera – Makamu wa Rais

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amesema kuwa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar inatekeleza…
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents