Rais Magufuli aeleza uhusiano wa Rais Museveni na Tanzania
Habari

Rais Magufuli aeleza uhusiano wa Rais Museveni na Tanzania

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli amesema kuwa Tanzania na Uganda ni nchi ambazo zina…
Rais Magufuli amtumbua Mkurugenzi Tunduru
Habari

Rais Magufuli amtumbua Mkurugenzi Tunduru

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli leo ametengua uteuzi wa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Tunduru,…
Rais Magufuli ziarani Uganda
Habari

Rais Magufuli ziarani Uganda

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli ameanza ziara ya siku 3 nchini Uganda, kwa mwaliko…
Vyombo vya dola vina uwezo wa kutoa uchunguzi tukio la Mh. Lissu – Waziri Mkuu
Habari

Vyombo vya dola vina uwezo wa kutoa uchunguzi tukio la Mh. Lissu – Waziri Mkuu

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema kuwa wao kama serikali wanaamini kuwa vyombo vya dola vina uwezo wa kutoa uchunguzi wa…
Mh. Mbowe ambana Waziri Mkuu tukio la kushambuliwa kwa Mh. Lissu
Habari

Mh. Mbowe ambana Waziri Mkuu tukio la kushambuliwa kwa Mh. Lissu

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema matukio yanayoendea nchini yakiwemo yale ya Mkuranga, Kibiti na kupigwa risasi kwa mbunge wa singida…
Video: Rais Magufuli aagiza watoa vibali vya sukari wafukuzwe
Habari

Video: Rais Magufuli aagiza watoa vibali vya sukari wafukuzwe

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli amempa siku tatu Waziri wa Kilimo, Dkt. Tizeba kuwaondoa…
Serikali yatenga bilioni 2.2 kupunguza madeni ya wakandarasi
Habari

Serikali yatenga bilioni 2.2 kupunguza madeni ya wakandarasi

Serikali kupitia Naibu Waziri Mambo ya Ndani ya Nchi,Hamad Masauni imesema katika mwaka wa fedha 2017/2018 Jeshi la Polisi limetenga…
Mawaziri msitoe matamko yasiyotekelezeka – Waziri Mkuu
Habari

Mawaziri msitoe matamko yasiyotekelezeka – Waziri Mkuu

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amewataka Mawaziri na Naibu Mawaziri wajiepushe na utoaji wa matamko yasiyotekelezeka ili kuepuka mikanganyiko Serikalini. Ametoa…
Si kwamba Mh. Rais anapendelea Kanda ya Ziwa – Waziri Nchemba
Habari

Si kwamba Mh. Rais anapendelea Kanda ya Ziwa – Waziri Nchemba

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba amesema kuwa si kweli kwamba Rais wa Jamhuri ya Muungano wa…
Kauli ya Rais Magufuli ‘Vijana waachwe walime mpaka kwenye mito’ yazua gumzo bungeni
Habari

Kauli ya Rais Magufuli ‘Vijana waachwe walime mpaka kwenye mito’ yazua gumzo bungeni

Naibu Waziri wa Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira, Kangi Lugola amesema kuwa hakuna mwananchi anayeruhusiwa kulima kwenye…
Video: Rais Magufuli atoa neno kwa waandishi wa habari ‘Nyie na sisi tunateseka pamoja’
Habari

Video: Rais Magufuli atoa neno kwa waandishi wa habari ‘Nyie na sisi tunateseka pamoja’

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli amewapongeza waadishi wa habari wa Tanzania huku akiwaahidi kuwa…
Spika Ndugai aipa kibano serikali kuhusu mikopo ya wanafunzi wa elimu ya juu
Habari

Spika Ndugai aipa kibano serikali kuhusu mikopo ya wanafunzi wa elimu ya juu

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai ameitaka serikali kutoa tamko au taarifa bungeni kuhusu mikopo…
Video: Vijana waachwe walime mpaka kwenye mito – Rais Magufuli
Habari

Video: Vijana waachwe walime mpaka kwenye mito – Rais Magufuli

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli amepiga marufuku viongozi wanaozuia wananchi wanaolima kando ya mito…
Mh. Zitto aachiwa, polisi wachukua simu yake
Habari

Mh. Zitto aachiwa, polisi wachukua simu yake

Kiongozi wa Chama chama cha ACT – Wazalendo, Zitto Kabwe ameripoti kituo cha polisi kilichopo Kamata Karikakoo jijini Dar es…
Serikali yasema haiwezi kuajiri vijana wote nchini
Habari

Serikali yasema haiwezi kuajiri vijana wote nchini

Serikali kupitia Naibu Waziri wa Ofisi ya Waziri Mkuu,Sera,Bunge, Kazi Vijana, Ajira na Walemavu, Anthony Peter Mavunde amesema kuwa si…
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents