Picha: Korea Kaskazini yawachimba mkwara maadui zake kwa kuonesha silaha nzito
Picha

Picha: Korea Kaskazini yawachimba mkwara maadui zake kwa kuonesha silaha nzito

Korea Kaskazini imetoa onyo kwa maadui zake Jumamosi hii kwa kuonesha silaha zake mpya na nzito kwenye gwaride la kijeshi…
Rais Magufuli azindua mabweni mapya ya UDSM, yatachukua wanafunzi 3,840
Habari

Rais Magufuli azindua mabweni mapya ya UDSM, yatachukua wanafunzi 3,840

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Magufuli, Jumamosi hii amefanya uzinduzi wa mabweni mapya ya wanafunzi wa…
New Video: Mdadisi – God Bless
Burudani

New Video: Mdadisi – God Bless

Rapper Mdadisi ameachia video ya wimbo wake God Bless uliotayarishwa na Tiddy Hotter huku video ikiongozwa na Joma.
New Video: Sappy – Call You Back
Burudani

New Video: Sappy – Call You Back

Video ya wimbo wa producer Sappy ambaye pia ni muimbaji, Call You Back. Wimbo umetayarishwa na yeye mwenyewe kupitia studio…
New Video: Nasi f/ Marisa – Napenda
Burudani

New Video: Nasi f/ Marisa – Napenda

Video ya wimbo wa rapper Nasi akimshirikisha Marisa. Wimbo umetayarishwa katika studio za Mazuu na wimbo umetayarishwa na Shama Kilasi.
New Video: Chess Nthusi (Kenya) – Give It To You
Burudani

New Video: Chess Nthusi (Kenya) – Give It To You

Kenyan singer Chess Nthusi has released the video of her latest single Give It To You. “Give it to you”…
Picha: Janet Jackson amuonesha mtoto wake Eissa Al Mana kwa mara ya kwanza
Burudani

Picha: Janet Jackson amuonesha mtoto wake Eissa Al Mana kwa mara ya kwanza

Janet Jackson amemuonesha mtoto wake Eissa Al Mana kwa mara ya kwanza. Ikiwa ni miezi mitatu baada ya kumpata mtoto…
Kwanini Hollywood inaenda Uganda au Kenya kufanya kazi na si kuja Tanzania? Tumeziangalia sababu
Burudani

Kwanini Hollywood inaenda Uganda au Kenya kufanya kazi na si kuja Tanzania? Tumeziangalia sababu

Mara ya mwisho kusikia msanii mkubwa wa Marekani amekuja Tanzania na kufanyia video yake huku ni Oktoba 2007. John Legend…
New Video: Seline – Jitume
Burudani

New Video: Seline – Jitume

Seline ameamua kugeukia muziki wa injili na hamasa baada ya kufanya kazi kwa kipindi kifupi kwenye label ya The Industry.…
Maua Sama awataja wapishi wa Main Chick
Burudani

Maua Sama awataja wapishi wa Main Chick

Maua Sama amefanikiwa kuwa msanii anayefyatua hits baada ya hits. Kwa sasa anafanya vizuri na wimbo wake Main Chick. Lakini…
Jay Moe aeleza kwanini hakukata tamaa licha ya kuwa msanii mwenye ‘gundu’ kwa miaka mingi
Burudani

Jay Moe aeleza kwanini hakukata tamaa licha ya kuwa msanii mwenye ‘gundu’ kwa miaka mingi

Rapper Jay Moe Moe amesema yeye ni mmoja kati ya wasanii ambao wamekuwa wakisemwa wana gundu na hawana bahati. Lakini…
Audio: Kisa cha mbuzi wanaojichunga wenyewe Dar, mzee anayewamiliki asema ukiiwaiba utawarudisha tu
Videos

Audio: Kisa cha mbuzi wanaojichunga wenyewe Dar, mzee anayewamiliki asema ukiiwaiba utawarudisha tu

Kama wewe ni mtembezi mzuri wa jiji la Dar es Salaam, bila shaka umewahi kukutana na kundi la mbuzi wanaokatiza…
New Video: French Montana f/ Swae Lee – Unforgettable
Burudani

New Video: French Montana f/ Swae Lee – Unforgettable

Rapper wa Marekani mwenye asili ya Morocco, French Montana ameachia video ya wimbo wake Unforgettable aliomshirikisha Swae Lee. Video imefanyika…
CAF na FIFA waupitisha uwanja wa CCM Kirumba Mwanza kutumika kwenye mechi za kimataifa
Michezo

CAF na FIFA waupitisha uwanja wa CCM Kirumba Mwanza kutumika kwenye mechi za kimataifa

Shirikisho la soka duniani, FIFA na lile la Afrika, CAF kwa pamoja wameupitisha uwanja wa CCM Kirumba uliopo jijini Mwanza,…
Polisi 7 wauawa katika shambulio la kutisha Pwani
Tragedy

Polisi 7 wauawa katika shambulio la kutisha Pwani

Polisi takriban saba wameuawa usiku wa kuamkia leo kwa kupigwa risasi huko Mkuranga mkoani Pwani. Taarifa za awali zimedai kuwa…
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents