Mzee amsamehe kijana aliyemuulia mtoto wake (+Video)
Habari

Mzee amsamehe kijana aliyemuulia mtoto wake (+Video)

Mzee mmoja nchini Marekani amemsamehe kijana aliyemuua mtoto wake kwa kumchoma kisu tukio lililotokea mwaka 2015. Wakiwa kwenye hukumu ya…
Syria yarejea kwenye Umoja wa kiarabu baada ya miaka 12
Habari

Syria yarejea kwenye Umoja wa kiarabu baada ya miaka 12

Umoja wa nchi za kiarabu umeikaribisha Syria na kuhitimisha kusimamishwa kwake kwa zaidi ya miaka 12. Taarifa ya uamuzi huo…
Azam watinga fainali ya FA, waifunga Simba 2-1
Habari

Azam watinga fainali ya FA, waifunga Simba 2-1

Azam wameonesha umwamba mbele ya Mnyama na kuondoka na ushindi wa goli 2-1. Magoli yakifungwa Lusajo Mwaikenda ⚽️ Prince Dube…
Drogba- Ahmed Ally ambatiza jina Kibu Denis
Habari

Drogba- Ahmed Ally ambatiza jina Kibu Denis

Tangu Kibu Denis kuifunga #YangaSC goli kwenye mchezo wa Derby ya Kariakoo na kushangilia kwa aina yake nyota huyo amekuwa…
Simba wameruhusu goli moja tu ‘FA’ kabla mechi na Azam FC
Habari

Simba wameruhusu goli moja tu ‘FA’ kabla mechi na Azam FC

Kikosi cha Simba SC leo saa 9:30 Alasiri kitashuka katika Uwanja wa Nangwanda Sijaona kuikabili Azam FC kwenye mchezo wa…
MUSIC AUDIO: Mask A Ft. Love Nana & Lupex – Nipokee
Burudani

MUSIC AUDIO: Mask A Ft. Love Nana & Lupex – Nipokee

Msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Mask A ameachia wimbo wake mpya wa ‘NIPOKEE’ na anakualika kuusikiliza kwa kubofya link…
Siku ya heshima kwa wazawa inakuja- Feisal
Habari

Siku ya heshima kwa wazawa inakuja- Feisal

Kiungo wa Yanga SC Feisal Salum kupitia ukurasa wake wa Instagram ameandika “Napeperusha bendera ya Wazawa. Siku ya heshima kwa…
Azam timu kubwa na tajiri, wengine wakongwe- Hasheem Ibwe(+Video)
Habari

Azam timu kubwa na tajiri, wengine wakongwe- Hasheem Ibwe(+Video)

Kuelekea mechi ya nusu fainali ya Azam Sport Federation Cup (Cup) baina ya Azam FC dhidi ya Mnyama Simba SC…
Maafisa wa Ukrain na Urusi wapiga ‘Live’ nchini Uturuki
Habari

Maafisa wa Ukrain na Urusi wapiga ‘Live’ nchini Uturuki

Mjumbe mmoja wa Ukrain amenaswa kwenye video akimshambulia kwa ngumi afisa wa Urusi wakati wa Mkutano wa kiserikali nchini Uturuki.…
Our Team Our Time- Yanga waja kivingine (+Video)
Habari

Our Team Our Time- Yanga waja kivingine (+Video)

Yanga SC  waitangazia balaa Marumo Gallants FC kwenye Mchezo wa nusu fainali Kombe la Shirikisho Afrika utakaopigwa Benjamin Mkapa siku…
Vinara wa ‘assist’ Simba watawala Top 10
Habari

Vinara wa ‘assist’ Simba watawala Top 10

Licha ya kushika nafasi ya pili kwenye msimamo wa Ligi Kuu Wachezaji wa Simba wanaongoza kuwa na ‘assist’ nyingi zaidi…
Simba kupata sare na Namungo nimefurahi- Msemaji wa Azam FC(+Video)
Habari

Simba kupata sare na Namungo nimefurahi- Msemaji wa Azam FC(+Video)

Afisa Habari wa Azam FC @hasheem Ibwe amesema kuwa matokeo ya sare ya Simba SC hapo jana ameyapokea kwa furaha…
Mimi Afisa habari tajiri kuliko wote- Hasheem Ibwe amtambia Manara ?(+Video)
Habari

Mimi Afisa habari tajiri kuliko wote- Hasheem Ibwe amtambia Manara ?(+Video)

Afisa Habari wa Klabu ya @azamfcofficial na Mtangazaji wa Azam Tv @hasheem_ibwe amedai kuwa yeye ndiye Afisa Habari mwenye Mkwanja mrefu zaidi kuliko…
#TBT Mwameja akiwaongoza Simba SC Fainali Kombe la CAF
Habari

#TBT Mwameja akiwaongoza Simba SC Fainali Kombe la CAF

Mlindalango wa Wekundu wa Msimbazi @simbasctanzania Mohammed Mwameja akiwaongoza wachezaji wa timu hiyo kuingia Uwanja wa Uhuru jijini Dar es…
Kwa nini Ronaldo hana Tattoo kwenye mwili wake ?
Habari

Kwa nini Ronaldo hana Tattoo kwenye mwili wake ?

Watu wengi wamekuwa wakijiuliza kwanini, Ronaldo hajachora ‘tattoo’ kwenye mwili wake. Licha ya mafanikio makubwa ndani na nje ya uwanja…
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents