Msimamo wa kundi C la Simba SC
Habari

Msimamo wa kundi C la Simba SC

Muonekano wa msimamo wa Kundi C Ligi ya Mabingwa Barani Afrika, kabla ya kurejea tena uwanjani wiki ijayo 1 .…
Msimamo wa kundi D la Yanga SC
Habari

Msimamo wa kundi D la Yanga SC

Baada ya michezo ya Kombe la Shirikisho kupigwa wikiend hii. Msimamo wa kundi D yenye wawakilishi wa Tanzania Young Africans…
Hatukuwa na bahati Guinea- Robertinho
Habari

Hatukuwa na bahati Guinea- Robertinho

Kocha Mkuu, Roberto Oliviera ‘Robertinho’ amesema Simba SC ilikosa bahati katika mchezo wao dhidi ya Horoya na hilo limesababisha kupoteza…
FT: Monastir 2-0 Young Afrika
Habari

FT: Monastir 2-0 Young Afrika

Mpira umekwisha US Monastir 2-0 Yanga mchezo wa Kombe la Shirikiso Barani Afrika. Yanga wanapoteza mchezo wake wa kwanza hatua…
FIFA+ kuonesha baadhi ya mechi Ligi Kuu Wanawake
Habari

FIFA+ kuonesha baadhi ya mechi Ligi Kuu Wanawake

Baadhi ya mechi za Ligi Kuu ya Wanawake ya Serengeti Lite (SWPL) zitaoneshwa moja kwa moja kupitia mtandao wa Shirikisho…
Kwa Mkapa hatoki mtu- CEO wa Simba Kajula
Habari

Kwa Mkapa hatoki mtu- CEO wa Simba Kajula

Mtendaji Mkuu wa Klabu ya Simba, Imani Kajula amesema kuwa wachezaji wa timu hiyo wamecheza vizuri dhidi ya Horoya licha…
Neno moja kwa Yanga vs US Monastir
Habari

Neno moja kwa Yanga vs US Monastir

Yanga SC wanashuka uwanja wa Olympic Rades pale Tunis kutupa karata yake ya kwanza dhidi ya US Monastir katika hatua…
FT: Horoya 1-0 Simba SC
Habari

FT: Horoya 1-0 Simba SC

Dakika 90 zimekamilika Horoya wanapata ushindi wa goli 1-0 dhidi ya Simba SC Mchezo wa kundi C Ligi ya Mabingwa…
Yanga mkateteme Tunisia- Waziri Mkuu Majaliwa (+Video)
Habari

Yanga mkateteme Tunisia- Waziri Mkuu Majaliwa (+Video)

”Nitumie nafasi hii kuwatakia kila lakheri klabu zetu nchini, wawakilishi wa Tanzania katika hatua za Makundi Klabu Bingwa Afrika na…
Waziri Mkuu Majaliwa: Simba mkanyunyize Guinea (+Video)
Habari

Waziri Mkuu Majaliwa: Simba mkanyunyize Guinea (+Video)

”Ujumbe wetu kwenu Simba SC nyunyiza hao wa Guinea walale kwa magoli mengi kwao, hatuna mashaka na viwango vyenu Simba…
Senzo Mbatha kuwa CEO wa BFL
Habari

Senzo Mbatha kuwa CEO wa BFL

Ligi kuu nchini Botswana (BFL) huwenda ikamtangaza, Senzo Mbatha kuwa Mtendaji Mkuu baada ya Solomon Ramochotlhwane kujiuzulu nafasi hiyo miezi…
Simba kila kitu shwari Guinea
Habari

Simba kila kitu shwari Guinea

Meneja Habari na Mawasiliano, Ahmed Ally amesema kikosi kimewasili salama nchini Guinea jana saa 11 jioni na kila kitu kinakwenda…
Ronaldo afikisha goli 500, akitupia nne peke yake
Habari

Ronaldo afikisha goli 500, akitupia nne peke yake

Mchezaji wa Al-Nassr, Cristiano Ronaldo amefikisha magoli 500 ngazi ya Klabu kwenye maisha yake ya soka. Ronaldo amefikisha goli la…
Mfahamu Mwamuzi wa Simba vs Horoya (+Video)
Habari

Mfahamu Mwamuzi wa Simba vs Horoya (+Video)

Mwamuzi wa Misri, Amin Mohamed Omar maarufu kama (Amin Omar) anatarajiwa kusimamia mchezo wa Simba SC ugenini dhidi ya Horoya.
Ntibazonkiza awakosa Horoya sababu zaanikwa (+Video)
Habari

Ntibazonkiza awakosa Horoya sababu zaanikwa (+Video)

Wakati Simba SC inaondoka kuelekea Guinea kucheza dhidi ya Horoya jina la Saido Ntibazonkiza halikuwemo kwenye orodha ya wachezaji waliokwea…
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents