Simba kukwea pipa alfajiri kuifuata Horoya
Habari

Simba kukwea pipa alfajiri kuifuata Horoya

Simba SC inatarajia kuondoka nchini kesho Februari 9, 2023 majira ya saa 10 alfajiri kuelekea Guinea tayari kwa mchezo wa…
Silva akataa kufuata nyayo za Ronaldo
Habari

Silva akataa kufuata nyayo za Ronaldo

Kiungo Mshambuliaji, David Silva amekataa kujiunga na Saudi Pro League licha ya ofa nyingi kumiminika mezani kwake kutoka kwa mawakala…
Houngnandande pilato US Monastir Vs Yanga
Habari

Houngnandande pilato US Monastir Vs Yanga

Kikosi cha Young Africans kinatarajia kutupa karata yake ya kwanza kwenye Michuano ya Kombe la Shirikisho Barani Afrika Jumapili ya…
Try Again na Infantino kwenye kozi ya FIFA
Habari

Try Again na Infantino kwenye kozi ya FIFA

Mwenyekiti wa Bodi, Salim Abdallah ‘Try Again’ akisalimiana na Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Duniani (FIFA), Gianni Infantino…
Simba wazindua jezi za Champions League
Habari

Simba wazindua jezi za Champions League

Klabu ya Simba imezindua rasmi jezi zake zitakazotumika kwaajili ya Michuano ya Ligi Mabingwa Barani Afrika ambazo zina maandishi ya…
Collina: Tunataka VAR ieleweke zaidi kwa mashabiki
Habari

Collina: Tunataka VAR ieleweke zaidi kwa mashabiki

Rais wa Kamati ya Waamuzi ya FIFA, Pierluigi Collina, anaamini kuwa mawasiliano ya moja kwa moja ya maamuzi ya Mwamuzi…
Yanga kupumzika Dubai, safarini kuwafata US Monastir (+Video)
Habari

Yanga kupumzika Dubai, safarini kuwafata US Monastir (+Video)

Ofisa Habari wa Yanga, Ali Kamwe amesema kikosi cha Yanga kitapumzika Dubai kisha kesho majira ya saa 2:40 ndipo kitaanza…
Morrison akosekana safari ya Tunisia (+Video)
Habari

Morrison akosekana safari ya Tunisia (+Video)

Winga wa Klabu ya Yanga, Bernard Morrison hatakuwepo kwenye msafara wa timu hiyo unaondoka leo Februari 7, 2023 kuelekea nchini…
Yanga vs Monastir uwanja wabadilishwa Tunisia (+Video)
Habari

Yanga vs Monastir uwanja wabadilishwa Tunisia (+Video)

Afisa Habari wa Klabu ya Yanga, Ali Kamwe amefunguka kuhusu mchezo wao dhidi ya Monastir kuhamishiwa kwenye Uwanja wa Stade…
Atsu apatikana akiwa hai baada ya sauti kusikika chini ya vifusi
Habari

Atsu apatikana akiwa hai baada ya sauti kusikika chini ya vifusi

Mchezaji wa Ghana anayekipiga Klabu ya Hatayspor Sporting ya Uturuki, Christian Atsu amepatikana akiwa hai baada ya sauti yake kusikika…
Christian Atsu akwama kwenye kifusi Uturuki
Habari

Christian Atsu akwama kwenye kifusi Uturuki

Mchezaji wa Ghana anayekipiga Klabu ya Hatayspor Sporting ya Uturuki, Christian Atsu amekwama kwenye kifusi baada ya kutokea tetemeko la…
Mexime mechi saba bila ushindi
Habari

Mexime mechi saba bila ushindi

Timu ya Kagera Sugar imetoka sare tasa ya bila kufungana 0-0 dhidi ya Polisi Tanzania kwenye mchezo wa Ligi Kuu…
Baada ya kuwa na watoto 102, wajukuu 568 Mzee Musa asema wanatosha
Habari

Baada ya kuwa na watoto 102, wajukuu 568 Mzee Musa asema wanatosha

Mzee Musa Hasahya, mkulima kutoka nchini Uganda mwenye wake 12, watoto 102, na wajukuu 568, ameamua kuacha kuongeza familia ambayo…
Conte ampigia simu Harry Kane baada ya kuiua City
Habari

Conte ampigia simu Harry Kane baada ya kuiua City

Antonio Conte amempigia simu nyota wake, Harry Kane na kumpongeza Mshambuliaji huyo kwa kuwa Mfungaji Bora wa muda wote wa…
Simba SC vs Al Hilal ngoma droo
Habari

Simba SC vs Al Hilal ngoma droo

Wawakilishi wa Kichuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika Klabu ya Simba imetoka sare ya goli 1-1 dhidi ya Al Hilal…
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents