MUSIC AUDIO: Mariana – NAOLEWA
Muziki

MUSIC AUDIO: Mariana – NAOLEWA

Msanii wa kike wa muziki wa Bongo Fleva anayekuja kwa kasi, Mariana (@Mariana__berry) ameachia audio ya ngoma yake mpya ya…
Enzo Fernandez avunja rekodi ya usajili Premier League
Habari

Enzo Fernandez avunja rekodi ya usajili Premier League

Chelsea hapo jana ilikamilisha usajili wa kiungo wa Benfica, Enzo Fernandez Enzo Fernandez amevunja rekodi kwenye historia ya usajili wa…
Mikopo Kausha Damu yapata suluhu Gairo
Habari

Mikopo Kausha Damu yapata suluhu Gairo

Mkuu wa Wilaya ya Gairo Mhe. Jabiri Makame ameitisha Mkutano wa Wadau wa Sekta Ndogo ya Fedha kujadili changamoto za…
Tutawauliza Singida Big Stars ile sare waliipataje- Ahmed Ally
Habari

Tutawauliza Singida Big Stars ile sare waliipataje- Ahmed Ally

Kikosi cha Simba SC kimetangaza kuingia kambini kujiandaa na mchezo wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Singida Big Stars…
SportPesa watoa tamko baada ya Yanga kutangaza mdhamini mpya
Habari

SportPesa watoa tamko baada ya Yanga kutangaza mdhamini mpya

Mdhamini Mkuu wa Klabu ya Yanga Kampuni ya SportPesa imetoa taarifa ya kusikitishwa kwake na uamuzi uliochukuliwa na Uongozi wa…
Rais Samia: Watu wanategeshewa dawa za kulevya (+Video)
Habari

Rais Samia: Watu wanategeshewa dawa za kulevya (+Video)

“Mamlaka ya kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya na kwenyewe ‘Very Important’, tumekuwa na kesi kadhaa, vijana wetu hawa…
Mashabiki wa Yanga wafurika Makao Makuu Jangwani (+Video)
Habari

Mashabiki wa Yanga wafurika Makao Makuu Jangwani (+Video)

Mashabiki wa Yanga wafurika Makao makuu ya Klabu hiyo kujipatia jezi mpya zilizozinduliwa hapo jana Januari 30,2023. Jezi hizo zenye…
Rais Samia azindua tume ya kuangalia Jinsi ya kuboresha taasisi za haki jinai nchini (+Video)
Habari

Rais Samia azindua tume ya kuangalia Jinsi ya kuboresha taasisi za haki jinai nchini (+Video)

Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizindua Tume ya Kuangalia Jinsi ya Kuboresha Taasisi za…
Yanga watangaza mdhamini mpya Haier (+Video)
Habari

Yanga watangaza mdhamini mpya Haier (+Video)

Klabu ya @yangasc imetangaza mdhamini wake mpya Kampuni ya Haier kwa Mkataba wa shilingi Bilioni 1.5 wa msimu mmoja kwa…
Waziri Bashe: Ni ukweli kuwa bei ya chakula imepanda (+Video)
Habari

Waziri Bashe: Ni ukweli kuwa bei ya chakula imepanda (+Video)

Waziri wa Kilimo – Mhe. Hussein Mohammed Bashe (Mb) akitolea ufafanuzi sababu za kupanda kwa Bei ya chakula Nchini baada…
LIVE: Zuhura Yunus akizungumza na vyombo vya habari Ikulu- Dar (+Video)
Habari

LIVE: Zuhura Yunus akizungumza na vyombo vya habari Ikulu- Dar (+Video)

Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, Ikulu Zuhuru Yunus pamoja na Waziri wa Kilimo, Mhe. Hussein Bashe; Naibu Katibu Mkuu, Wizara…
Mpinzani wa Murtaza Mangungu agoma kusaini ushindi (+Video)
Habari

Mpinzani wa Murtaza Mangungu agoma kusaini ushindi (+Video)

Mgombea Mwenyekiti aliyeshindwa kwenye Uchaguzi Mkuu wa Simba SC, Moses Kaluwa amesema kuwa hakusaini matokeo yaliompa ushindi mpinzani wake Murtaza…
Matokeo ya Uchaguzi Mkuu Simba SC (+Video)
Habari

Matokeo ya Uchaguzi Mkuu Simba SC (+Video)

Mwenyekiti wa Kamati ya Uchaguzi wa Simba, Boniface Lihamwike akitoa matokeo ya uchaguzi Mkuu Simba SC Murtaza Mangungu ameshinda uchaguzi…
Murtaza Mangungu ashinda Uenyekiti Simba SC
Habari

Murtaza Mangungu ashinda Uenyekiti Simba SC

Murtaza Mangungu ameshinda uchaguzi nafasi ya Mwenyekiti wa Klabu kwa kupata kura 1,311. Walioshinda nafasi ya ujumbe wa Bodi ya…
Musonda atupia mawili, Rhino Rangers akifa 7
Habari

Musonda atupia mawili, Rhino Rangers akifa 7

Yanga waichapa Rhino Rangers goli 7-0 kwenye michuano ya Kombe la Shirikisho la Azam. Mshambuliaji mpya wa Young Africans Sports,…
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents