Godfrey Mgallah
- Afya
Sekta mbalimbali zinavyoshirikiana katika kupambana na Virusi vya Corona Tanzania
Watu duniani kote hivi sasa wanapambana na tatizo la ugonjwa wa Coronavirus. Serikali zote barani Afrika kwa namna mbalimbali zinapambana…
Read More » - Technology
Tanzania ya viwanda inavyohitaji mazingira bora kukuza ubunifu wa kiteknolojia
Wiki jana tumeona ufunguzi wa maonyesho katika Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya. Tukio hilo muhimu lilileta pamoja wanafunzi…
Read More » - Technology
Kampuni za mawasiliano ya simu zinavyosaidia kuinua wanawake Tanzania
Wiki iliyopita wanawake barani Afrika walisherehekea Siku ya Kimataifa ya Mwanamke. Siku hii muhimu husherehekea mafanikio ya mwanamke kijamii, kiuchumi,…
Read More » - Videos
MUSIC VIDEO: Gisboy – UNITEKE
Msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Gisboy anakukaribisha utazame kichupa cha ngoma yake mpya ‘UNITEKE’ kilichoongozwa na Director_Shama kilasi, Na…
Read More » - Technology
Tufanye yafuatayo ili kuvuna matunda ya uchumi wa kidijitali
Inafahamika wazi namna gani teknolojia imesaidia nchi nyingi kuendelea kiuchumi. Hii inadhihirika wazi pia kwa nchi za Afrika eneo la…
Read More » - Technology
Ifahamu simu yenye Kamera ya maajabu inayokimbiza sokoni kwasasa duniani
Infinix S5 Pro ni moja kati ya simu bora zaidi yenye bei nafuu katika soko la simu janja Tanzania kwa…
Read More » - Technology
Kampuni za mawasiliano ya simu zinavyoleta mapinduzi katika sekta ya afya
Wiki iliyopita Hospitali ya Taifa ya Muhimbili ikishirikiana na Chuo Kikuu cha Oxford imetangaza mradi mkubwa wa afya nchini Tanzania.…
Read More » - Technology
Mazingira bora ya uwekezaji ni nguzo ya ukuaji wa sekta ya mawasiliano ya simu
Teknolojia ya dijitali imebadili nchi nyingi barani Afrika. Programu mpya za simu zimesaidia biashara za kila namna kuibuka na kukua.…
Read More » - Technology
Sekta ya mawasiliano ya simu ni nguzo muhimu katika kukuza uchumi
Mabadiliko ya kidijitali yamekuwa moja ya chachu kubwa ya kusukuma mbele gurudumu la maendeleo nchini. Juma lililopita, Umoja wa Forodha…
Read More » - Videos
MUSIC VIDEO: Stewart Davidson – Mungu wetu sio mchoyo
Tazama video mpya ya msanii wa muziki wa Injili hapa Tanzania, Anaitwa Stewart Davidson na wimbo unaitwa ‘Mungu wetu sio…
Read More » - Technology
Sekta ya mawasiliano ya simu inavyopunguza umaskini nchini Tanzania
Toka mwaka 2016 Serikali ya Tanzania imekuwa ikiweka juhudi kubwa katika utekelezaji wa mkakati wake wa kuibadili Tanzania kuwa nchi…
Read More » - Technology
Tufanye haya ili kukuza na kustawisha sekta ya mawasiliano Tanzania
Tanzania imepata mabadiliko makubwa ya teknolojia katika kipindi cha miaka 10 iliyopita. Leo hii, Tanzania ina watu zaidi ya milioni…
Read More » - Technology
Sekta ya mawasiliano ya simu inavyokuza ajira nchini
Mwanzoni mwa mwezi huu wa Januari 2020, Naibu Waziri katika Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Atashasta Nditiye (Mb) alilitaka…
Read More » - Technology
Taarifa hii nzuri ikufikie wewe mtumiaji wa Simujanja ‘Smartphone’ hapa Tanzania kwa mwaka 2020
Toleo jipya la simu CAMON 12 Pro ya hivi karibuni imewekewa kitufe cha Msaidizi wa Google (Google assistant) ambacho kinaruhusu…
Read More » - Events
Washindi wa promosheni ya December to Remember Kishuashua ya Infinix wakabidhiwa zawadi zao
Baada ya Infinix S5 party iliyofanyika mwanzoni mwa mwezi huu wa December na kuhudhuriwa na wadau mbalimbali wa Infinix ikiwamo…
Read More »